Chagua lugha:
kiswahili(Swahili)
Fomu ya Lalamishi (Ombi La Ukaguzi)
Kwa:
Mwenyekiti,
Jopo la Ukaguzi
Mfumo wa Uwajibikaji wa Benki ya Dunia
MSN: MC 10-1007
1818 H St., NW, Washington, DC 20433, USA.
Kipepesi: +1(202)-522-0916.
Barua pepe:
ipanel@worldbank.org
(Tafadhali jibu masuali yafuatayo vizuri iwezekanayovyo. Pindi fomu imewasilishwa, tutakuwasilia kuchukua habari yeyote ya ziada inayohitajika.)
VIDOKEZO:
-
Kama uko na shida yoyote wakati wa kujaza fomu hii, tafadhali wasiliana na Mfumo wa Uwajibikaji wa Benki ya Dunia kwa barua pepe: ipanel@worldbank.org Au kupitia simu: +1-202-458-5200.